Ofisi Raisi Katiba sheria Utumishi na Utawala bora imesema imelenga kutekeleza mipango mbali mbali ikiwemo mpango wa rasilimali watu na kuimarisha matumizi ya mifumo ya kieletroniki Ili kuimarisha utoaji wa huduma Bora kwa wananchi.
Oman imeahidi kuendeleza program mbali mbali zinazohusiana na maswala ya kiislam kwa kushirikiana na ofisi ya Mufti wa Zanzibar.
Tamko hilo limetolewa na Balozi mdogo wa Oman aliekuepo Zanzibar Nd. Said Salim Hemed Alsinawi wakati timu hiyo y. . .
Waziri wa nchi ofisi ya Rais Katiba Sheria utumishi na utawala Bora Mh Haroun Ali Suleiman amesema mpango wa kujenga hospitali ambayo ndani yake kuna kifaa cha kuokoa maisha watu wanaopata majanga ya kuzama baharini decompression chamber ), kutasaidi. . .