Mkutano Mkuu wa Mwaka wa utakao wa husisha makatibu mahsusi na watunza kumbukumbu wa sekta ya umma na sekta binafsi Tanzania unatarajiwa kufanyika hapa zanzibar mwezi mei mwaka huu.
Waziri Nchi Menegment ya Utumishi. . .

Waziri wa Nchi (OR) KSUUB
Mh. Haroun Ali Suleiman Akishuhudia utiaji saini mkataba wa maelewano

Waziri wa Nchi (OR) KSUUB
kati ya Mahakama na taasisi ya taarifa za kisheria Afrika

Nd. Yakuti Hassan Yakuti
Akitoa kiapo cha kuwa Mjumbe wa Kamisheni ya Utumishi wa Umma Ikulu Zanzibar

Nd Kubingwa Mashaka Simba
Katibu wa Ofisi ya Rais Kamisheni ya Utumishi wa Umma

Nd Kubingwa Mashaka Simba
Akifungua mafunzo ya kubadilishana uzoefu wa ushughulikiaji wa makosa ya kinidhamu

Nd. Mussa Kombo
Akiwataka watumishi kuwa makini katika kufuata sheria za Utumishi ya Umma

Picha ya Pamoja
kati ya Makamisha na Uongozi wa Tume ya kurekebisha Sheria Zanzibar

Nd.Maryam Rished Mbarouk
Mkurugenzi Utawala Rasilimali Watu na Mipango kutoka (OR) Kamisheni ya Utumishi wa Umma

Nd.Maryam Rished Mbarouk
Akifungua kikao katika hafla ya utoaji wa Miundo ya Utumishi ya Baraza la Wawakilishi

Nd.Maryam Rished Mbarouk
Akimkabidhi Muundo wa Utumishi Katbu wa wa Tume ya Utumishi BLW Nd Mahmoud Ahmada Haji

Nd.Mahmoud Ahmada Haji
Katibu wa Tume ya Utumishi ya Baraza la Wawakilshi akipokea SoftCopy ya Muundo wa Utumishi .

Jaji Mkuu
Mh. Khamis Ramadhan Abdalla Akisalimiana na Mkurugenzi wa Masuala ya Wanyama Pori.

Picha ya Pamoja
Kati ya Watendaji wakuu wa Mahakama na Taasisi ya Kimataifa ya Masuala ya Wanyama Pori

Mh.Haroun Ali Suleiman
Akiwasilisha Msaada wa Sheria ya kurekebisha Sheria ya Chuo cha Utumishi (IPA)

Kikao cha Pamoja
Cha kujadili Mkutano Mkuu wa Mwaka

Kikao cha Pamoja
Utakao wahusisha makatibu mahsusi na watunza kumbukumbu wa sekta ya umma na sekta binafsi

Mhe. Haroun Ali Suleiman
Akutana na Balozi wa Uswiz