
Waziri Haroun Ali Suleiman Amesema serikali ipo katika kutatua migogoro kwa wawekezaji.
Waziri wanchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na Utawala Bora Haroun Ali Suleiman Amesema muelekeo wa serikali upo katika kutatua migogoro kwa wawekezaji , hivyo ni vyema kusuluhishwa kabla kufika mahakamani.